Kichwa: MASOMO KUMI NA TATU KATIKA MAFUNDISHO YA IMANI YA KIKRISTO
Mwandishi: Denver Sizemore
Wakristo wapya wana maswali muhimu ambayo yanahitaji majibu ya kibiblia. Wanahitaji kujua kwa nini wanaamini wanachokiamini! Masomo Kumi na Tatu katika Mafundisho ya Kikristo ni utafiti wa msingi katika kujenga Imani ya Ukristo. Kwa vile kimeundwa kwa Wakristo wapya. Masomo Kumi na Tatu kinamsaidia mkristo mpya kuanzia mwanzo wa kukutana na Kristo hadi kufikia ukomavu wa kiroho. Baadhi ya faida zilizojumuishwa katika kusoma kitabu hiki ni:
Masomo kuhusu Mungu, Yesu, na Kanisa
Masomo kuhusu kutoa na utoaji wa Agano Jipya
Maswali ya kuimarisha uelewa wa mafundisho ya kila sura
Masomo kuhusu Imani, toba, na ubatizo
Haya ni masomo yenye nguvu ya kiroho, yaliyoundwa kwa ajili ya: Wakristo wapya, Madarasa ya Jumapili, (Sunday School) Ibada za Katikati ya wiki na, Na Vikundi Vidogo vya kujifunza Biblia
Title: Thirteen Lessons in Christian Doctrine
Author: Denver Sizemore
New Christians have important questions that require biblical answers. They need to know why they believe what they believe! Thirteen Lessons in Christian Teachings is a foundational study in building Christian Faith. It is designed for new Christians. The Thirteen Lessons help a new Christian from the beginning of encountering Christ to reaching spiritual maturity. Some of the benefits included in studying this book are:
Lessons about God, Jesus, and the Church
Lessons about giving and the New Covenant
Questions to strengthen understanding of the teachings of each chapter
Lessons about Faith, repentance, and baptism
These are powerful spiritual lessons, designed for: New Christians, Sunday School classes, Midweek services, and Small Bible study groups
Thirteen Lessons in Christian Doctrine (Swahili)
$6.00
Description
Kichwa: MASOMO KUMI NA TATU KATIKA MAFUNDISHO YA IMANI YA KIKRISTO
Mwandishi: Denver Sizemore
Wakristo wapya wana maswali muhimu ambayo yanahitaji majibu ya kibiblia. Wanahitaji kujua kwa nini wanaamini wanachokiamini! Masomo Kumi na Tatu katika Mafundisho ya Kikristo ni utafiti wa msingi katika kujenga Imani ya Ukristo. Kwa vile kimeundwa kwa Wakristo wapya. Masomo Kumi na Tatu kinamsaidia mkristo mpya kuanzia mwanzo wa kukutana na Kristo hadi kufikia ukomavu wa kiroho. Baadhi ya faida zilizojumuishwa katika kusoma kitabu hiki ni:
Haya ni masomo yenye nguvu ya kiroho, yaliyoundwa kwa ajili ya: Wakristo wapya, Madarasa ya Jumapili, (Sunday School) Ibada za Katikati ya wiki na, Na Vikundi Vidogo vya kujifunza Biblia
Title: Thirteen Lessons in Christian Doctrine
Author: Denver Sizemore
New Christians have important questions that require biblical answers. They need to know why they believe what they believe! Thirteen Lessons in Christian Teachings is a foundational study in building Christian Faith. It is designed for new Christians. The Thirteen Lessons help a new Christian from the beginning of encountering Christ to reaching spiritual maturity. Some of the benefits included in studying this book are:
These are powerful spiritual lessons, designed for: New Christians, Sunday School classes, Midweek services, and Small Bible study groups
188 Pages
Additional information
Related products
How to Escape the Anteater’s Claws (Spanish)
$8.00 Add to cartHeaven, What a Wonderful Place! (Spanish)
$7.00 Add to cartEncounters with Christ (Spanish)
$9.00 Add to cart