Kichwa: MASOMO 12 ZAIDI KATIKA MAFUNDISHO YA IMANI YA KIKRISTO
Mwandishi: Denver Sizemore
Katika kitabu cha pili, ambacho mwanzoni kiliitwa Gems of Bible Doctrine, Denver Sizemore anashughulika na maswali mengi ambayo huwa yanaachwa “bila kujibiwa” kwa ajili ya muumini mpya. Masomo 12 Zaidi katika Mafundisho ya Imani ya Kikristo ni “hatua inayofuata” katika kujifunza masomo ya mambo ya msingi katika kujenga Imani ya Kikristo. Kwa vile kitabu hiki kimeundwa kama mwendelezo wa baitabu Masomo Kumi na Tatu, mafundisho yake yanaendeleza mchakato wa kukomaa kiroho, ulioanzishwa katika kitabu cha kwanza. Zifuatazo ni baadhi ya faida za kusoma kitabu hiki:
Masomo kuhusu Roho Mtakatifu
Masomo kuhusu Shetani na kuzimu
Maswali ya kuimarisha uelewa katika bila surce
Masomo kuhusu upendo na bunena kwa lugha
Haya ni masomo ya kiroho na nyenye nguvu, yaliyoandaliwa kwa ajili ya Wakristo wapya. Masomo ya Jumapili (Sunday School), na ibada za batikati ya wiki na vikundi vidogo vya kujifunza Biblia
Title: Twelve More Lessons
Author: Denver Sizemore
In the second book, originally titled Gems of Bible Doctrine, Denver Sizemore addresses many of the questions that are often left “unanswered” for the new believer. 12 More Lessons in Christian Doctrine is the “next step” in learning the foundational lessons in building the Christian faith. Since this book is designed as a continuation of the Thirteen Lessons series, its teachings continue the process of spiritual maturity, begun in the first book. Here are some of the benefits of reading this book:
Lessons about the Holy Spirit
Lessons about Satan and hell
Questions to reinforce understanding in without source
Lessons about love and speaking in tongues
These are spiritual and powerful lessons, designed for: New Christians. Sunday School lessons, and weekly devotionals and small Bible study groups
Twelve More Lessons (Swahili)
$6.00
Description
Kichwa: MASOMO 12 ZAIDI KATIKA MAFUNDISHO YA IMANI YA KIKRISTO
Mwandishi: Denver Sizemore
Katika kitabu cha pili, ambacho mwanzoni kiliitwa Gems of Bible Doctrine, Denver Sizemore anashughulika na maswali mengi ambayo huwa yanaachwa “bila kujibiwa” kwa ajili ya muumini mpya. Masomo 12 Zaidi katika Mafundisho ya Imani ya Kikristo ni “hatua inayofuata” katika kujifunza masomo ya mambo ya msingi katika kujenga Imani ya Kikristo. Kwa vile kitabu hiki kimeundwa kama mwendelezo wa baitabu Masomo Kumi na Tatu, mafundisho yake yanaendeleza mchakato wa kukomaa kiroho, ulioanzishwa katika kitabu cha kwanza. Zifuatazo ni baadhi ya faida za kusoma kitabu hiki:
Haya ni masomo ya kiroho na nyenye nguvu, yaliyoandaliwa kwa ajili ya Wakristo wapya. Masomo ya Jumapili (Sunday School), na ibada za batikati ya wiki na vikundi vidogo vya kujifunza Biblia
Title: Twelve More Lessons
Author: Denver Sizemore
In the second book, originally titled Gems of Bible Doctrine, Denver Sizemore addresses many of the questions that are often left “unanswered” for the new believer. 12 More Lessons in Christian Doctrine is the “next step” in learning the foundational lessons in building the Christian faith. Since this book is designed as a continuation of the Thirteen Lessons series, its teachings continue the process of spiritual maturity, begun in the first book. Here are some of the benefits of reading this book:
These are spiritual and powerful lessons, designed for: New Christians. Sunday School lessons, and weekly devotionals and small Bible study groups
182 Pages
Additional information
Related products
Heavenly Hosts (Spanish)
$8.00 Add to cartBaptism: A Biblical Study (Spanish)
$8.00 Add to cartLessons in Bible Doctrine Vol. 1 (Spanish)
$8.00 Add to cart